- Bungeni, Habari
- May 2, 2024
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa yote nchini waanze kufanya tathmini na kubainisha maeneo ambayo yatatumika kufanya mazoezi kila Jumamosi. “Natoa wito kwa Wakuu wa Mikoa waanze kufanya tathmini ya maeneo waliyonayo na kutenga maeneo ya kufanyia mazoezi. Siyo lazima wafunge barabara kama ilivyo kwa Dar e Salaam, wanaweza kuchagua uwanja mmoja walionao
READ MORE- Bungeni, Habari
- April 25, 2024
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wamiliki wa shule na madereva wa mabasi yanayotoa huduma za usafiri kwa wanafunzi wajiridhishe kuhusu njia wanazopita ili kuhakikisha kunakuwepo na usalama wa wanafunzi wanaowabeba katika vyombo vya usafiri. “Wazazi, Walezi na Jamii ya Watanzania kwa ujumla tushiriki kikamilifu katika kuhakikisha usalama wa wanafunzi wanapokwenda na kurudi Shuleni wakati wote hususan katika
READ MORE- Bungeni, Habari
- April 24, 2024
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mchinga, Salma Kikwete, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 24, 2024. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama, Bungeni jijini Dodoma, Aprii 24, 2024.READ MORE